Translate

Sunday, August 16, 2015

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA INDONESIA YAPOTEA!

Ndege ya shirka la ndege la Indonesia imepotea na haionekani kwenye rada za kimataifa mchana huu na ikiwa na abiria 54!
  Tutawajuza badaye habari kamili!

No comments:

Post a Comment