Translate

Thursday, September 10, 2015

MSAFALA WA HECHE WAVAMIWA NA MTU MMOJA AMEFARIKI

Msafala wa mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema jumbo la Tarime vijijini ndugu John Heche umevamiwa na wakati ukitokea kijiji cha Magucha kuelekea Kegonga na mtu mmoja amefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa !

No comments:

Post a Comment