Translate

Tuesday, October 27, 2015

UKAWA KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI JIONI HII

PRESS CONFERENCE UKAWA LEO SAA 12 JIONI:

Viongozi wakuu wa UKAWA watokea Ngome hivi sasa na wanaelekea Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi na mashtaka, ya wale vijana waliokamatwa juzi kwenye tallying centres za UKAWA. Vijana hao wamepelekwa mahakamani muda huu na inavyodaiwa tayari kuna hati ya kuzuia wasipate dhamana.

Baada ya hapo viongozi wakuu watafanya mkutano na waandishi wa habari Kisenga LAPF International Conference Centre, kuanzia saa 12 jioni. Itakuwa press yenye uzito.

UKAWA will hold a press conference of its top leadership at 6.00 pm Kisenga LAPF Conference Centre at Millenium Tower builiding, opp to Makumbusho Village.

Now, they are leaving Ngome to Kisutu Magistrate Court, as the volunteers who were arrested the day before yesterday at our tallying centres have been rushed to the court this afternoon.

Makene.

No comments:

Post a Comment