Tetesi zimeenea kuwa Rob Kardashian na Ex wa rapa Tyga ‘Blac Chyna’ wanamahusiano ya kimapenzi. Kwa mujibu wa E News Blac Chyna ameonekana sio mara moja na Rob Kardashian kwenye pozi tofauti nyumbani kwake ila waliweka mahusiano yao kuwa siri.
Fahamu kuwa Ex wa Blac Chyna ambaye ni Tyga anatoka na mdogo wake Rob Kardashian ambaye ni Kylie Jenner. Rob Kaardashian amekaa mbali na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa baada ya kuongezeka kilo zaidi ya hamsini ndani ya mwaka mmoja na kukutwa na ugonjwa wa sukari.
Hivi karibuni Blac Chyna akiwa ananunua vitu vya mtoto mchanga kama matayarisho ya kujifungua mtoto mwingine.
No comments:
Post a Comment