
Zoezi la upigaji kura limeanza huko Zanzibar ambapo mgombea urais wa CCM Dkt Ali Mohammed Shein amepiga kura asubuhi hii katika kituo cha Bungi kisiwa cha Unguja.
Usalama umeimarishwa visiwani. Hapa chini ni maafisa wa usalama wakiwa na mbwa wa kunusa kabla ya Dkt Shein kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Unguja.
No comments:
Post a Comment