Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za Serikali
-Amemteua Prof. Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ayub Rioba Mkurugenzi Mkuu wa TBC na Dkt. Mussa Iddi Mgwatu ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO).
No comments:
Post a Comment