Translate

Saturday, March 19, 2016

OMMY DIMPOZ AELEZEA BIFU LAKE NA DIAMOND


dim-na-ommy
Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz ni moja kati ya wasanii wanaoathiriwa na kuwepo kwa ile bifu kati ya Team Diamond na Team Kiba kwa kuwa wote ni washikaji zake.

Ommy amesema kuwa mashabiki wanamweka katika wakati mgumu kwani akionekana yuko na mmoja wapo anaonekana snitch kwa wengi na kusema yeye hajaegemea upande wowote bali ana focus na mambo yake.
Yanapotokea matatizo kama haya hutakiwi ku choose side,unayaangalia yapite kwa sababu naamini yataisha,mimi najaribu ku focus kwenye mambo yangu binafsi.Ukisema uegemee upande huu utazua matatizo mengine bora niyasome kama shabiki.” alisema Ommy Dimpoz alipoulizwa kwanini urafiki wake na Diamond umepungua.
Source: Chill na Sky

No comments:

Post a Comment