Translate

Tuesday, May 17, 2016

JE WAJUA: UJERUMANI ILIUA WAGONJWA NA WASIOJIWEZA!

Wakati wa utawala wa NAZI chini ya Adolf Hitler,
Ujerumani ilianzisha sera ya kuuwa watu wote ambao walionekana ni dhaifu
.                                         Jengo lilitumika kuwaulia wote waliokuwa dhaifu


Katika sera hiyo inasemekana watu zaidi ya laki mbili waliuawa kati ya 1940 na 1945
Waliouawa walikuwa ni wagonjwa wasiopona na walemavu
Madaktari walitumika sana kwenye hili zoezi
Tukio hili pia limewahi kutokea nchini Uganda ambapo mtawala wa kipindi hicho Idd Amini aliwakusanya walemavu na kwenda kuwatupa kwenye mto.

No comments:

Post a Comment