IMETUFIKIA KUTOKA BUNGENI DODOMA
❖ Wabunge wote wa upinzani wametoka nje kususia kikao cha Bunge ikiwa ni kutekeleza azimio lao la kutokuwa na imani na Naibu Spika, Tulia Ackson.
❖ Baada tu ya kusomwa dua ya kufungua Bunge asubuhi wabunge hao wametoka nje.
❖ Juzi kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akizungumza na wabunge wa upinzani alisema kuwa hawana imani na Dk Tulia hivyo watakuwa wakisusia vikao vyote vitakavyokuwa vikiongozwa na kiongozi huyo
No comments:
Post a Comment