Mnyama mkubwa kuwahi kuishi duniani aligundulika Mkoa wa Lindi. Kwa sasa mabaki yake ni kivutio kikubwa cha utalii huko Berlin, Ujerumani.
- Mnyama huyu aliishi miaka milioni 150 iliyopita na inasemekana uzito wake ulikuwa unafikia tani 80 na urefu wake zaidi ya mita 20.
No comments:
Post a Comment