Kwenye mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni akiwa na familia yake , mtoto wa Will Smith ‘Jaden Smith’ ameongelea kuwa tofauti na watu waliomzunguka na kusema “Niko tofauti sana na nilipogundua hili jambo nimekuwa mkimya sana sababu najua nikisemahakuna atakaye nielewa”
Pia Jaden ameongelea mavazi yake nakusema anapenda kuwa na utofauti huo, ndicho kitu kinachompa furaha na kumfanya ajisikia wa kipekee,
P
No comments:
Post a Comment