Siku chache kabla ya kuanza ligi ya La Liga Cristiano Ronaldo ameanza kujitamba mtaani na lile gari lake la kifahari lenye thamani ya Pound milioni 1.7, gari hii ni Bugatti Veyron.
Ronaldo alijinunulia gari hii kama zawada, Bugatti Veyron ya Ronaldo ni toleo la 16.4 Grand Sport, ni toleo lenye speed kali sana ya kutoka 0-to-62 mph ndani ya sekunde 2.6.
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,SAMMISAGO.COM IPO
No comments:
Post a Comment