CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimeitaka Serikali kurekebisha Sheria za Madini pamoja na kuibuka na Katiba mpya itakayotoa muungazo kwenye Rasulimali na kuwawajibisha wanazihujumu Rasilamiali hizo.
Akizungmza na Na Waandishi wa Habari Dk.Vicent Mashinji Katibu Mkuu wa (Chadema) leo Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam, ameleza kuwa Serikali iwa wazi kwenye mikataba pamoja na kurusha Bunge Mubashara (Live).
Mshinji ni ovyo ovyo kabisa, alikuwa wapi kuongea haya kama siyo umbeya tupu? Hawezi hata kutambua kuwa kulikuwa na Rasmu ya Katiba na siyo Katiba. Huyu ni mwizi.
Mshinji ni ovyo ovyo kabisa, alikuwa wapi kuongea haya kama siyo umbeya tupu? Hawezi hata kutambua kuwa kulikuwa na Rasmu ya Katiba na siyo Katiba. Huyu ni mwizi.
ReplyDelete