Pia kupitia Kikao hicho cha Kamati Kuu, Mke wa Rais Mugabe, Grace Mugabe amefutiwa uanachama wa Chama Tawala cha ZANU-PF, hivyo amekosa sifa ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho.
#Note Hii ndiyo hatua zilizopaswa kuchukuliwa toka mwanz, na siyo jeshi kufanya ilichokifanya. Kilochofanywa na jeshi kilitakiwa kufanyika iwapo Mugabe amevuliwa nafasi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya chama harafu akagoma kusalimu amri
No comments:
Post a Comment