NEC YAKUBALIANA NA RUFAA ZA CHADEMA
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imekubaliana na rufaa zilizowasilishwa na wagombea 6 wa CHADEMA na hivyo wagombea hao wote walioenguliwa wamerejeshwa katika uchaguzi.
Kadhalika tume hiyo imezikataa rufaa za wagombea wengine 9 wa vyama vingine dhidi ya wagombea wa CHADEMA.
No comments:
Post a Comment