Translate

Sunday, November 5, 2017

MGOGORO WA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI KWENYE MGODI SHANTA MINING WAFIKIA PABAYA



Mjadala Mezani umeshindikana.  Mwajiri anataka wajadiliane bila kuwa na hata document zinazothibitisha nia yake ya kupunguza wafanyakazi.  Kwa hiyo NUMET wametueleza kuwa huo si utaratibu, wameamua kuvunja majadiliano na sasa wanaelekea mahakamani.



"Naomba wanachama tushikamane kudai, kulinda na kutetea masilahi yetu.
Sisi Viongozi wenu tumedhamiria kwa dhati kulifanya hili kwa nguvu zetu Zote,  akili zetu Zote na uwezo wetu wote.  Tunaomba Mwenyezi Mungu atusaidie."
Hiyo ni kauli ya viongozi wa NUMET aliyoitoa leo kwenye mitandao ya jamii...

No comments:

Post a Comment