Translate

Wednesday, July 22, 2015

LEMBELI NA BULAYA WAKABIDHIWA KADI ZA CHADEMA

Mh Freeman Mbowe amewakabizi rasmi kadi za uanachama James Lembeli na Ester Bulaya waliokuwa wabunge kwa tiketi za CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Mwanza leo


No comments:

Post a Comment