Translate

Monday, September 7, 2015

MWISHO WA KUHAKIKI VICHINJIO {VITAMBULIDHO VYA MPIGA KURA} NI LEO!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa leo tarehe 7 Septemba ndio siku ya mwisho ya kuhakiki taarifa za mpiga kura katika daftari la mpiga kura, zoezi hilo lilianza tarehe 19 Agosti.

Zoezi hili limekuwa likiendelea nchi nzima. Tume imesema pia kwa wale ambao hawataweza kuhakiki kufikia leo jioni kwa kukagua taarifa zako kwa njia ya simu kwa kubonyeza *152*00# au kutembelea tovuti Mwanzo ::Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kufuata maelekezo.

No comments:

Post a Comment