A Nasikitika kutoa taarifa hii mbaya kwa watanzania.
Muda mfupi uliopita (kama dakika 15 hivi) ndege yetu ya kivita imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.
Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.
Wavuvi wamebahatika kupata helmet zao tu.
Taarifa zaidi zitafuata
RIP Makamanda wetu
No comments:
Post a Comment