Translate

Friday, January 29, 2016

MAKONDA AENDA KUMPATANISHA Mh SUMAYE NA WANANCHI WA MABWEPANDE


"Leo nimefanya mkutano wangu wa kutatua migogoro ya Ardhi ktk kata ya Mabwepande. Nimemsikiliza kwa Makini mlalamikaji ambae ni Mhe Sumaye dhidi ya wanakijiji wanaosemekana kuvamia shamba lake. Nimewahakikishia wananchi pamoja na Mzee wangu kuwa Serikali itatenda haki kwa pande zote mbili."
Paul C. Makonda's photo.

No comments:

Post a Comment