Baada ya hayo yote, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo,Nape Nnauye anasema ‘Tunachotegemea wangewasilisha mpango mbadala kwa mwaka 2017/2017, badala yake mchana wakasema hawapo tayari, jioni wamekuja wanasema hatua zinazochukuliwa na Serikalini ni hatua zinzokiuka utaratibu‘ ;-Nape Nnauye
‘Tunachokiona hawa wenzetu pengine kasi ya hawamu ya tano inawashinda, sasa wanaamua kuweka vihoja n akushindwa kuweka mpango mbadala. Na kama hawana huo mpango mbadala basi si’mbaya waache mpango ulioletwa na Serikali upitishwe na utekelezwe‘ ;-Nape Nnauye
No comments:
Post a Comment