Translate

Saturday, April 16, 2016

DIAMOND ASHIKWA UCHAWI :FUVU LA BINADAMU LAKUTWA OFISINI KWAKE




 Wakati mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii ndumba kwenye muziki wake ambao sasa umemfikisha mbali kimataifa, staa wa Afro-Pop,
Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’, ameshikwa uchawi kufuatia kukutwa laivu kwa fuvu linalodaiwa ni la binadamu ndani ya ofisi zake.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment