JE WAJUA? : MAMBO 10 USIYOJUA KUHUSU KUPUMUA!
Mambo 10 usiyoyajua kuhusu kupumua:
- Mtu mzimas anapumua mara 23,000 kwa siku.
- Kazi kubwa ya kupua sio kupata oxygen bali ni kuondoa kabon dayoksaididayoksaidi
- Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako
- Unavyopumua kwa kasi ndiyo unavyozidisha njaa.
- Unatakiwa kufanya mazoezi kwa kiwango ambacho utaweza kupumua ukiwa umefunga mdomo
- Pua ina ngazi nne za kuchuja hewa inayoingia, na ukipumua kwa mdomo hewa inaenda moja kwa moja mpaka ngazi ya nne.
- Kama mapafu yakitandazwa chini yana uwezo wa kufikia uwanja wa mpira wa tenesi
- Kupumua kunaendeshwa kwa mfumo wa fahamu usio wa hiali [involuntaly]
- Ukijizuia kupumua unaongeza kabon dayoksaidi mwilini
- Ukijizuia kupua unatibu kwikwi
No comments:
Post a Comment