- Ni nchi kamili yenye mamlaka kamili na ina mfumo wake wa posta,fedha na ulinzi
- Iko ndani ya mji wa Roma kwenye nchi ya Itali
- Utawala wa Vatican ni wa kidini na mkuu wa nchi ni PAPA
- Vatican imezungukwa na ukuta
- Ni nchi yenye watu wachache zaidi Duniani na ina wananchi wapatao 800, huku wengi wao ni viongozi wa kidini
- Asilimia kubwa ya wananchi wake wanaishi nje ya nchi kama Mabalozi na wawakilishi
- Kuna jeshi maalumu la ulinzi linaloitwa Swiss Guard na wanajeshi wake wana uwezo mkubwa sana
- Ni nchi yenye eneo dogo sana , takribani ukubwa wa hekari 100
- Vatican haina mfumo wa kodi
- Kuna njia ya siri ya papa kutoroka kama kuna tatizo la kiusalama
Translate
Wednesday, April 20, 2016
JE WAJUA?: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU VATICAN
VATICAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment