Kamati ya Bunge yataka TANESCO itumbuliwe kufuatia uamuzi wa kununua transfoma nje wakati zinapatikana kiwanda cha TANELEC Arusha.
- Wamesema “Tunashindwa kuilewa Tanesco kwanini wanafanya hivyo wakati kiwanda ni cha kwao na wakati Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco Felchismi Mramba yuko ndani ya bodi ya wakurugenzi, hapa kuna mgogoro ambao unapaswa kutatuliwa kwa wakati ili kunusuru kiwanda hiki”
No comments:
Post a Comment