WABUNGE WA UPINZANI WAMETOKA NJE YA BUNGE PIA WASUSIA HOTUBA YA WAZIRI MKUU
Wabunge wa upinzani wametoka nje kwa madai kuwa serikali ya awamu ya tano hadi sasa haina 'mwongozo wa kuiongoza nchi' haujatolewa, kwamba hadi sasa serikali inatumia mwongozo wa awamu ya nne.
Wabunge wa upinzani wakitoka nje ya Bunge
Madai mengine ni kupinga ubadilishwaji wa matumizi ya fedha kwa kigezo cha kubana matumizi bila kushirikisha bunge, hivyo wamesusia hotuba ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment