
Kuna ajali mbaya imetokea huko wilayani karatu mkoani arusha,kwenye mteremko wa Rhotia-Karatu. Gari aina ya Costa lililokuwa limebeba wanafunzi kutokea arusha lilipoteza mwelekea na kutumbukia bondeni. Idadi ya vifo 27 kwa taarifa za awali...
Basi ni aina ya Coaster. Wanafunzi hao walikuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo.
Taarifa zinasema shule inaitwa lake school iliyopo jijini Arusha na basi lilikuwa limebeba wanafunzi 58.

Endelea kufuatilia mwananzengo kwa habari zaidi.......
No comments:
Post a Comment