Mwandishi: Lauryn Kusimba
Kulingana na taarifa aliyekuwa waziri wa Kilimo, Kipruto Arap Kirwa, mpango wa serikali kupandisha bei ya unga ulipangwa kuanzia 2015 - Kirwa anadai mpango huo uliwahusisha viongozi serikalini kwa nia ya kujinufaisha
Waziri wa zamani alifafanua ijnsi mpango huo uliyosababisha bei ghali ya UNGA ulivyopangwa na watu wakuu serikalini
Mpango wa serikali kuomba msaada wa chakula kutoka Mexico ulipangwa kitambo sana,mpango huo uliwahusisha viongozi serikalini ambao walitaka kujitajirisha,”
Kirwa alisema kwenye mahojiano na gazeti la The Standard. Kulingana na Kirwa ambaye alikuwa waziri wa Kilimo wakati wa uongozi wa rais mstaafu Mwai Kibaki, serikali ilipeana mbolea mbaya kwa wakulima kimakusudi 2016 na kuzitumia vibaya fedha za bodi ya kitaifa ya mazao na nafaka maarufu kama National Cereals and Produce Board (NCPB). Mpango wa serikali kuomba msaada wa chakula kutoka Mexico ulipangwa kitambo sana,mpango huo uliwahusisha viongozi serikalini ambao walitaka kujitajirisha,”
Waziri wa zamani atambua jinsi mpango uliyosababisha bei ghali ya UNGA ulivyopangwa na watu wakuu serikalini
Sakata hii ya ukosefu wa unga ilipangwa kutoka 2016 ,serikali haikununua chakula cha kutosha makusudi ili iombe msaada kutoka nchi za kigeni," Kirwa alinukuliwa. Waziri huyo wa zamani aliongezea kwa kusema kuwa ,NCPD ina uwezo wa kuhifadhi zaidi ya magunia milioni 20 lakini ni magunia 800,000 pekee ndio yaliyopelekwa katika bodi hiyo mwaka uliyopita. ;
No comments:
Post a Comment