CHAMA cha Wananchi CUF Kimepanga Kumfikisha Mahakama Mkurugenzi wa Rita kutokana na madai ya kushiriki kukihujumu chama hicho.
akizungumza na Waandishui wa Habari leo Jijini Dar es Salaam Maalimu Seif Sharifu Ahmad Katibyu Mkuu wa Chama hicho amesema kuwa chama hicho kitafungua kesi zidi ya Mkuregenzi huyo kutokana na kushiriki kwenye kufoji nyaraka za kuhalalisha Bodi ya wadhamini bandia.
Maalimu Seif amesema kuwa wajumbe hao bandia wametengenezwa ila kujipatia fedha za chama hicho kwa udanganyifu.
No comments:
Post a Comment