Translate

Wednesday, August 23, 2017

MBUNGE WA ARUSHA GOD BLESS LEMA AKAMATWA JIONI HII




Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07). Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu. Polisi "wamemblock" Lema katika "keepleft" cha mnara wa saa kwa kusimamisha gari mbili (moja mbele na nyingine nyuma), kisha kuingia katika gari ya Lema na kumuelekeza kituo kikuu cha polisi (central). Hali hii imesababisha foleni kubwa kwenye barabara zinazoingia katikati ya mj

No comments:

Post a Comment