Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ametoa taarifa ya chama hiko kutoyatambua matokeo ya Uchaguzi Mdogouliofanyika hapo jana katika Majimbo ya Siha (Kilimanjaro) na Kinondoni (Dar es Salaam).
Kufuatia uamuzi huo, CHADEMA waliwaagiza mawakala wake kutofika vituo vya vikuu ya majumuisho ya kura katika majimbo hayo.
No comments:
Post a Comment