Translate

Friday, March 18, 2016

MAJALIWA ALIVYOWATUMBUA GEITA

Watumshi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili.
Kati ya waliosimamishwa nini Mhandisi wa Maji Wilaya Peter Ngunula ambaye amedaiwa kumdanganya Waziri ambaye alipita katika kijiji cha Kalebezo na kupokelewa na mabango yanayoonyesha kukosa maji kwa kipindi kirefu baada mashine yao kung’olewa na kupelekwa morogoro na kusabaisha kukosa maji.


No comments:

Post a Comment