Kwa mujibu wa mtandao wa African review wa Afrika ya kusini umetoa orodha ya marais 10 wa afrika ambao wanaingiza pesa nyingi huku rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Jakaya Kikwete akishika nafasi ya nne
Reseach hiyo imesema serikali chache zimeweka wazi kiasi cha pesa wanazoingiza
ORODHA
1 Paul Biya. - Cameroon. $601,000
2 King Mohammed. Morocco. $480,000
3 Jacob Zuma. South Africa. $272,000
4 Jakaya Kikwete. Tanzania. $192,000
5 Abdil Aziz Bouteflika. Algeria. $168,000
6 Teodoro Nguema. Equtol Guinea. $150,000
7 Uhuru Kenyatta. Kenya. $132,000
8 Hassan Sheikh Mohammed. Somalia. $120,000
9 Ikililous Dhoinine. Comoros. $115,000
10 Denis Sassou Nguesso. Congo Republican. $110,000
No comments:
Post a Comment