: Korti Kuu Kanda ya Mwanza leo imetengua amri ya polisi inayozuia wafuasi kuaga mwili aliyekuwa kiongozi wa Chadema, Geita, Alphonce Mawazo. Chadema, Polisi Mwanza pamoja na familia ya marehemu imetakiwa kukutana mara moja kwa ajili ya maandalizi ya shughuli ya kuuaga mwili huo.
No comments:
Post a Comment