Translate

Monday, April 25, 2016

KAFULILA AZIDI KUPETA KESI YA UCHAGUZI.


Jaji F. Wambari Leo ametupilia mbali hoja za mawakili wa Hasna na serikali walizowasilisha nyaraka zaidi ya kurasa300 kuomba kesi ya Kafulila ifutwe
Kafulila akitoka mahakamani
Na kwamba hawaoni kesi ya kujibu baada ya Kafulila na mashahidi wake3 pamoja na vielelezo kupokelewa mahakamani. Jaji amelekeza kesi iendelee may3. Hasna atoe ushahidi uliompa ushindi na msimamizi wa uchaguzi atoe ushahidi uliosababisha amtangaze Hasna mshindi.

No comments:

Post a Comment