Translate

Monday, April 25, 2016

CHINA IMEKUBALI KUSHILIKIANA NA TANZANIA KUJENGA RELI YA KATI KWA KIWANGO CHA 'STANDARD GAUGE'

China imekubali kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Reli ya kati yenye urefu wa Kilometa 2,561 kwa kiwango cha sasa yaani "Standard Gauge" ambapo zabuni za ujenzi zinatarajiwa kutangazwa hivi Karibuni.

Hongera sana Mh Rais John Pombe Magufuli kwa Jitihada Nzuri hizi.
Raisi JP Magufuli na Balozi wa China nchini 



No comments:

Post a Comment