Translate

Thursday, April 28, 2016

RAISI JPM ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA KITUO CHA UWEKEZAJI {TIC} KWA KUTOCHOKUA MSHAHARA WAKE TANGU 2013



Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki kwa kosa la kutokuchukua mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwezi Aprili, 2013.


No comments:

Post a Comment