BREAKING NEWS:- AJARI MBAYA YATOKEA USIKU HUU TANGA
TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Lusanga, Muheza. Basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Korogwe limegonga Lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu kadhaa (inadaiwa ni karibu gari zima)
No comments:
Post a Comment