UPDATE:
Maiti 32 zimepokelewa katika Hospital ya Lutheran Karatu, miongoni ni walimu 2, dereva 1 na wanafunzi 29, wavulana wakiwa 11 na wasichana 18 waliokuwa wanasoma Lucky Vincent Nursery and primary school.
-Mola awatie nguvu wazazi na wafiwa wote kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment