Translate

Thursday, December 21, 2017

TTCL WATHIBITISHA AIRTEL KUWA NI MALI YAO 100%

Kampuni ya simu ya TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao kwa asilimia mia na wapo tayari kuthibitisha.


Afisa mtendaji mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba amesema watahakikisha dhulma, wizi na gilba iliyofanywa inawekwa wazi mbele ya macho ya Watanzania.
Tazama video kwa habari zaidi......

No comments:

Post a Comment