BREAKING NEWS :- RAISI MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA NHC
Rais Dkt. John Magufuli
RAIS Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bi Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi 2018.
No comments:
Post a Comment