Translate

Tuesday, September 1, 2015

Dr SLAA KUONGEA NA WAANDISHI LEO MCHANA!

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa, Leo tarehe 1 Septemba 2015, atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake na waandishi wa habari.

Mhe. Dkt ameandaa mkutano huo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, kesho kuanzia saa NANE mchana, mkutano ambao utarushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni, radio na mitandao ya kijamii vya hapa nchini

No comments:

Post a Comment