Translate

Monday, October 12, 2015

LOWASA ADAI KILA MTANZANIA ANATAKIWA KUNEEMEKA NA RASILIMALI ZA NCHI

       Mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda UKAWA amesema, kila Mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.

Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa Rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.

Akaongeza ukileta viwanda Watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madereva, akasema hiyo kitu hataki.

Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.

Hiyo kauli iko sawa kweli?

No comments:

Post a Comment