Translate

Thursday, December 10, 2015

CCM WAVURUGA UCHAGUZI WA MEYA WA KINONDONI

Mkutano wa kwanza wa baraza la Manispaa ya Kinondoni limevurugika mchana ya leo baada ya CCM kuleta wapigakura mamluki na kudai ni wabunge wa viti maalum wanatoka Wilaya ya Kinondoni
.

Mkutano huo ulitaka kuanza uchaguzi wa meya lakini baada ya madiwani kuapishwa, CCM ikatambulisha wabunge wa viti maalum toka Zanzibar na kudai wanatoka Kinondoni ndipo vurugu ikaanza na polisi sasa waliitwa kuja kutuliza hali.

Baraza sasa limevunjika rasmi na uchaguzi kuahirishwa

No comments:

Post a Comment