Translate

Friday, December 25, 2015

MH PETER MSIGWA AONGELEA KUHUSU POSHO ZA WABUNGE

Hichi ndicho alichokiandika kwenye mitandao Mh Peter Msigwa kuhusu posho za wabunge



Nchi hii inaendeshwa kwa sheria kanuni na taratibu, mimi kama mbunge nitatimiza majukumu yangu YA KIBUNGE kwa uaminifu na uadilifu, mshahara na posho , kama nalipwa kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizowekwa nauchukua bila kumung'unya maneno, kwa kuwa ndio stahili yangu kwa mujibu wa sheria .kwa kazi ninayofanya!

No comments:

Post a Comment